Aliyekuwa Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuputia Cjadema, Tundu Lissu ambaye alikamatwa na
Polisi saa 12 jioni Umoja House,
ameachiwa bila masharti baada ya
mahojiano na Polisi. Ameachiwa yeye na aliokuwaameambatana nao.