“Tuliyokaa pembeni yako ni Vyama ambavyo vimeshiriki na wewe katika mchakato huu uliodumu kwa muda wa siku 60, jana kwa hiari yetu tulitoa tamko la kukubali na kuridhia Uchaguzi huu na nafasi ambayo Watanzania wamekupatia, Uchaguzi umemalizika, sisi ambao tumekwenda kupambana kwa kutumia hoja nafikiri ni busara na hekima kabisa tukakubaliana kwa kukumbatiana kwamba shughuli imeisha kwa sababu wote tupo katika lengo moja la kuona Mtanzania anaweza kusogea mbele kwa Maendeleo kwa maslahi mapana ya nchi yetu” – Bi. Queen Sendiga – Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais Chama Cha ADC.
The post Tunakuahidi ushirikiano, tutunze amani – Upinzani wampongeza Dkt Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.