Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge alipotembelea ofisi na studio za Msanii Harmonize  ambapo amemshauri mambo mbalimbali ikiwemo kujituma, kuongeza ubunifu, ufanisi na nidhamu ya kazi.

Ikumbukwe RC Kunenge pia ni mlezi wa lebo ya Kondegang ambayo ipo chini ya Msanii Harmonize.