Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samiah Suluhu Hassan wamepokea Cheti cha Ushindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
The post Rais Mteule wa Tanzania Dkt Magufuli akabidhiwa cheti cha Ushindi wa Uchaguzi Mkuu (+Video) appeared first on Bongo5.com.