Rais mteule wa taifa la Marekani, Joe Biden amezungumza na raia wa nchi hiyo kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliyokuwa na upinzani mkali kutoka kwa Donald Trump.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Biden ameahidi kuwaungansha wa Marekani wote na kuwa wamoja bila kujali majimbo yaliyomchagua Trump. “Tumeshinda kwa kura nyingi kuwahi kupigwa katika historia ya taifa hili katika,” Biden.

https://bit.ly/2GF1oaF

 

The post Rais mteule Joe Biden aahidi kuwaunganisha Wamarekani appeared first on Bongo5.com.