Rais Dkt John Pombe Magufuli amesema ameguswa na idadi kubwa ya watu waliokwenda kwenye sherehe za kuapishwa kwake leo. Amesema watu hao walikuwa wengi sana ndani na nje ya uwanja.

https://youtu.be/kHeUG6LQMpU

Amesema kutokana na hilo, ataanza ujenzi wa Uwanja mkubwa huko Dodoma hivyo Rais mwingine ataapishwa katika uwanja huo.

Inaelezwa kwamba Dodoma patajengwa uwanja mkubwa wa michezo unaoweza kupokea watu wasiopungua laki moja (100,000).

The post Rais Magufuli atangaza kujenga uwanja mkubwa Dodoma (Video) appeared first on Bongo5.com.