Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli leo ameshiriki misa ya Dominika ya 32 ya mwaka A katika Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino. Mhe.Rais Magufuli amewashukuru wa Tanzania kwa kuendelea Kuwa na imani nae kwa kumchagua tena katika uchaguzi wa mwaka huu na kuwaomba kuendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.

The post Rais Magufuli ashiriki ibada Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino (+Picha) appeared first on Bongo5.com.