Rais Magufuli amempongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wa Rais Mteule, Kamala Harris kwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo, JPM amewahakikishia Wateule hao kuwa Tanzania itaendelea kuuthamini uhusiano uliopo baina yake na Nchi ya Marekani.

https://bit.ly/3ngVE6P

The post Rais Magufuli ampongeza rais mteule wa Marekani Joe Biden,tutaendeleza ushirikiano wetu appeared first on Bongo5.com.