Rais Dkt. @MagufuliJP amewateua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki lakini pia amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, teuzi zote hizo zitanza leo Novemba 13, 2020.


Ikumbukwe Prof. Kabudi alikuwa akishika wadhifa huo katika baraza la mawaziri lililopita na

Dkt. Mpango alikuwa akishika wadhifa huo katika baraza la mawaziri lililopita.

 

The post Rais Magufuli aendelea kulitengeneza baraza la Mawaziri, wateuliwa wawili appeared first on Bongo5.com.