Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.

Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m

Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m

Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.

Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.

Bentley continental - 800k-1m US $

MERCEDES G 63- 800K-1M

RANFE ROVER SRV - 300k - 500k

Range rover autobiography 800k-1m

Yani hizo kwa uchache tu

Habari za tajiri Muulize maskini!