Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya ziada ya kushtukiza katika soko la kijangwana.

Ziada hiyo ya Dk. Mwinyi Mara baada ya wafanyabiashara katika soko hilo kuandamana hadi ofisi kuu za CCM kisiwandui kea Madai ya kuondoshwa kufanya biashara katika eneo hilo