Kupitia ukurasa wake wa Instagram @officialnandy ameandika ujumbe huu:- “Siku uliyonipigiaa na kuniambia una kitu kizur juu Yangu sikuamini…. lakini ulipokujaaaa studio tukakutana kwa mara ya kwanza hatu kuchukua hata masaa mawili kumaliza huu wimbo!! Umenipa wimbo mkubwa sana unaweza usione saiv ila baada ya mwez utaniambia!! Na Asante sana sababu matunda na yaona tangia niachie huu wimbo una baraka nyingi sana za kumaliza mwaka 🙌🏽….Nandy anaendelea: Watu wengi wanaongea kuusu kuandikiwaa acha niwaambie waandishi wana umuhimu sana lazima waandishi nao wapate kipato wasipo Andika Nyimbo watakula wapi? Na rahaaa ya kuandikiwaaa utoe HITS BWANA me na vichwaaaa haswaaaaa nikiandikiwaaa jua ni bomuuuu shout out kwa waandishi wote mteja wenu nipooo we hakikisha una HITS biasharaaaa I wazi 💫 tunafanya kazi 💰 thank u so much @_kusah_ @_kusah_ @_kusah_ MUNGU AKUFUNGULIE MILANGO YA KHERI “