“Si kwamba ukiwa na upinzani ndio unaweza kujenga hoja, tena wakati mwengine upinzani wa wenyewe kwa wenyewe ndio unakuwa mkali zaidi kuliko upinzani wa vyama tofauti, unaweza ukashangaa watu wakafukuzwa sana kazi kuliko unavyofikiri”
“Wala Rais haitaji kusafishwa, Rais wetu ni msafi na alishasafishwa na Watanzania, wenzetu waliokuwa wanagombea walikuwa wanakosea, unakuja kuwaambia watu kwamba kule nje wataamua, kule nje wanaangalia, sisi ndio wenye Nchi, Watu walikuwa wanabishana hata ruzuku namna ya kutumia mwanzo wa mwaka mpaka miaka mitano inaisha, sasa hawa ambao walikuwa wana ruzuku milioni mia tatu wameshindwa kukameneji, ivi ukiwapa Nchi itakuwaje? Mwita Waitara – Mbunge Mteule wa Tarime Vijijini.
The post Mwita Waitara: “Si kwamba ukiwa na upinzani ndio unaweza kujenga hoja, unawaambia watu kule nje wataamua, wanaangalia, sisi ndio wenye Nchi (+Video) appeared first on Bongo5.com.