Msanii wa muziki na Mbunge wa Muheza @mwanafa pamoja na meneja wa Diamond ambaye ni Mbunge wa Morogoro Mashariki @babutale wameapishwa leo jijini Dodoma kwaajili ya kuanza kazi ya kuwatumikia wananchi.
The post Mwana FA na Babu Tale walivyoapishwa Bungeni Dodoma (Video) appeared first on Bongo5.com.