Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda na kuetetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welterweight dhidi ya Carlos Paz raundi 


Mwakinyo amemchapa Jose Carlos Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne.