Henry Momanyi, Mmarekani mweusi wa asili ya Kenya, anagombea kiti cha udiwani katika mji wa Brooklyn Park, eneo wakilishi la West District, jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Demokratik.
https://www.instagram.com/tv/CHHnjIKheob/
https://www.instagram.com/tv/CHHnjIKheob/
The post Mfahamu mgombea udiwani Marekani, mwenye asili ya Kenya na akizungumza Kiswahili fasaha (+Video) appeared first on Bongo5.com.