Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema wamemkamata Freeman Mbowe pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es Salaam Boniface Jacob kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano ambayo wao wameyapiga marufuku.

The post Mbowe, Lema na Jacob wakamatwa (+Video) appeared first on Bongo5.com.