Kuelekea Kariakoo Derby au Derby ya Dar es Salaam mashabiki wa soka nchini wamekuwa na mitazamo tofauti hususan wale wa Yanga na Simba ambao kesho wanatarajiwa kumiminika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuwashuhudia mchezo huo unao wakutanisha miamba ya soka nchini.
The post Mashabiki wa Yanga, Simba watupiana maneno, K/koo Derby (+Video) appeared first on Bongo5.com.