Mgombea Urais wa Marekani, Joe Biden amevunja rekodi iliyoshikiliwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwa kupata kura milioni 70


Rais Barack Obama alipata kura 69,498,516 zilizoweza kumuweka madarakani mwaka 2008 baada ya kupata 52.93% ya kura zilizopigwa dhidi ya mpinzani wake


Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Joe Biden amepata kura 70,375,835 ambayo ni 50.2% dhidi ya mpinzani wake, Donald Trump