Waandamanaji wameibuka Jijini Kampala nchini Uganda baada ya Polisi kumkamata Mgombea Urais, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine akiwa anaendelea na Kampeni.


Watu kadhaa wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya Polisi kujaribu kuzuia maandamano hayo kwa risasi za moto na mabomu ya machozi.


Waandamanaji waliziba njia na kuchoma matairi mara baada ya kupata taarifa za kukamatwa kwa Bobi Wine, waandamanaji wengine walionekana wakichana picha ya Rais Yoweri Museveni.


VIDEO: