Futailia matangazo ya Bunge LIVE kutoka jijini Dodoma ambapo kikao cha tatu cha Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinafanyika leo Novemba 13, 2020. Rais Magufuli anatarajiwa kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili kwa ajili kuanza shughuli zake.

Kuangalia Video bofya HAPA

The post Live Bunge: Rais Magufuli kufungua rasmi Bunge la 12 (+Video) appeared first on Bongo5.com.