Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

Sasa mamlaka za kenya zimemruhusu Lema na familia yake kubaki nchini Kenya wakati akiendelea na taratibu za kuwa mhamiaji wa muda.

https://www.instagram.com/p/CHcRRySBHiL/

https://www.instagram.com/p/CHcRRySBHiL/

The post Kauli ya Lema akiwa Kenya: Mimi sijakimbia njaa wala sijakimbia kodi, nimekuja kutafuta hifadhi ya uhai wangu (+Video) appeared first on Bongo5.com.