Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka hayo mapema leo baada ya kulamba dili la ubalozi kutoka kampuni ya HQ na kumwagiwa sifa na Mkurugenzi wa kampuni hiyo kwa kudai kwamba mrembo huyo amempatia dili hiyo baada ya kumchunguza kwa muda mrefu.

The post Kauli ya Hamisa Mobetto baada ya kusifiwa na kupewa dili nono (Video) appeared first on Bongo5.com.