Spika Mteule wa Bunge, Job Ndugai akipongezwa na Waheshimiwa Wabunge baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Spika Mteule wa Bunge, Job Ndugai akiapa kiapo cha Uspika mara baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Spika Mteule wa Bunge, Job Ndugai akipokea katiba na kanuni kutoka kwa Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai mara baada ya kuapa kuwa Spika wa Bunge la 12 Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge wa muda, Mhe. William Lukuvi. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)