Waziri wa masuala ya kigeni katika jimbo la Georgia Brad Raffensberger ametangaza kwamba jimbo hilo litahesabu upya kura zake za urais.

Anasema kwamba kura 4169 hazijahesabiwa na kwamba kura 8000 za wanajeshi bado zimo katika barua na kwamba sitahesabiwa zitakapowasili mwisho wa siku.

Sio muda mrefu sasa, usiku kucha , Joe Biden amempiku Donald Trump katika mji wa Georgia .

Na huku matokeo ya kura yakitolewa, Biden amechukua uongozi dhidi ya Trump katika jimbo la Pennsylvania.

Georgia yenye wajumbe 16 inatosha kumfanya Biden kupata matokeo sawa na Trump katika idadi ya wajumbe, huku akisubiri matokeo maengine kutoka majimbo mengine.

Pennsylvania itamfanya Biden kuingia katika Ikulu ya Whitehouse.

https://www.instagram.com/tv/CHSBZo7BBO7/

https://www.instagram.com/tv/CHSBZo7BBO7/

The post Jimbo la Georgia kurudia hesabu ya kura za urais, Biden ampiku Trump Pennsylvania (+Video) appeared first on Bongo5.com.