Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.


Uteuzi huo unaanza leo tarehe 05 Novemba, 2020. Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya uteuzi wa kipindi cha kwanza kumalizika leo tarehe 05 Novemba, 2020.

The post Huu ndio Uteuzi wa kwanza wa Rais Magufuli baada ya kuapishwa Dodoma appeared first on Bongo5.com.