Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi, amemteua Mwinyi Talib Haji, kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar.
Mwanasheria Mkuu mpya wa Zanzibar, Mwinyi Talib Haji
Uteuzi wa Mwinyi Talib umeanza leo Novemba 3, 2020.
Kabla ya uteuzi huo Mwinyi alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Soma taarifa kamili hapo chini
The post Huu ndio uteuzi wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa appeared first on Bongo5.com.