MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa Azam FC ipo nafasi ya kwanza baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji, jana Novemba 5 Uwanja wa Azam Complex ikiishusha Yanga.