Msanii wa muziki, Muigizaji na Mwanamitindo @HamisaMobetto amelamba dili la ubalozi baada ya kuonekana ana nguvu ya ushawishi.

Hayo yamejiri mapema leo katika katika hotel ya Recency Park Jijini Dar Es Salaam

The post Hamisa Mobetto alamba dili la mamilioni (Video) appeared first on Bongo5.com.