Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John pombe Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Tanzania katika viwanja vya jamuhuri Dodoma.

Viongozi mbali mbali na raia wa Tanzania pia wameshuhudia tukio hilo

https://youtu.be/kHeUG6LQMpU

The post Dkt Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Video) appeared first on Bongo5.com.