Mshindi wa tuzo za Grammy mara 15, @aliciakeys, amemsifu msanii wa Tanzania, @diamondplatnumz, kwa aina yake ya uimbaji ambayo ameiita ya kipekee.


#Alicia ameyasema hayo alipokuwa akifanya tathmini ya album yake aliyoitoa siku za karibuni ambapo #Diamond ameshiriki kwenye wimbo uitwao ‘Wasted Energy.’

-

“Nimependa Diamond kuwa sehemu yaa album yangu, msanii wa Tanzania mkali ambaye ameibariki album yangu kwa aina yake ya uimbaji ya kipekee,” alisema Alicia Keys.


#DiamondPlatnumz ameweka historia ya kuwa Muafrika wa kwanza kushiriki kwenye Album ya msanii wa Marekani