Zoezi la upigaji kura ya mapema huko Zanzibar limeanza saa moja asubuhi. Kwa hii leo wanaopiga kura ni wa chache kwa sababu ya utaratibu uliopangwa.
The post Zanzibar: Zoezi la upigaji kura za mapema laanza leo (+Video) appeared first on Bongo5.com.