Mheshimiwa Suleiman Bugara Mbwege ambaye anafahamika Africa Mashariki kwa msemo wake wa ulisikia wapi na kuviteka vichwa vya habari nchini Tanzania na Kenya, ameangushwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa Ubunge.

Wakenya wengi jana walimtakia heri njema za uchaguzi lakini pia wengi hii leo wameghadhabishwa na habari za kuangushwa kwenye kinyang’anyiro kilichopita.

 

 

 

Imeandikwa na Changez Ndzai- Kenya

The post Wakenya wampa pole Bwege kwa kuangukia pua Ubunge Kilwa appeared first on Bongo5.com.