Tottenham wamekataa ofa ya mkopo wa pauni milioni 1.5 kutoka Paris St-Germain kwa ajili ya mlinda mlango Dele Alli na mchezaji huyo, 24, anajiandaa kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo ya London. (Guardian)

Dele Ali

Lakini klabu ya Ligue 1 watakuwa wanaandaa ofa ya mwisho ya mkopo kwa ajili ya Alli. (Telegraph)Antonio Rudiger alisaidia Ujerumani kushinda Kombe la Mabara mwaka 2017 nchini Urusi

Antonio Rudiger alisaidia Ujerumani kushinda Kombe la Mabara mwaka 2017 nchini Urusi

Spurs pia imeweka ofa ya mkopo kwa ajili ya mlinzi Antonio Rudiger, 27, anayekipiga Chelsea, wakati mazungumzo yakiendelea kati ya mahasimu hao wa London. (Nicolo Schira via Express)Arsenal's Lucas Torreira was injured in the FA Cup tie at Portsmouth

Lucas Torreira wa Arsenal huenda akaondoka klabu hiyo

Arsenal wamekubali dili la mkopo kwa ajili ya mlinzi wa Uruguay Lucas Torreira, 24, kwenda Atletico Madrid, na hatua hiyo itawaruhusu kumsajili kiungo wa kati Hossem Aouar, 22, kutoka Lyon. (AS,via Mirror)Houssem Aouar

Houssem Aouar

Paris Saint-Germain wanaweza kudhoofisha mpango wa washika bunduki kumshawishi Aouar baada ya pia kuingia kwenye mazungumzo ya kumnasa Mfaransa huyo. (L’Equipe,via Metro)

The post USAJILI: Wanaotikisa tetesi za usajili Ulaya appeared first on Bongo5.com.