Daktari wa Ikulu ya Marekani, Sean Conley amesema, Rais Donald Trump hayumo tena katika kitisho cha kuweza kuambukiza virusi vya corona.

Doctor says Trump won't transmit virus, stays mum on tests

Taarifa hiyo ya uchunguzi wa kitabibu imetolewa katika kipindi ambacho rais Trump anajiandaa kuanzisha upya mikusanyiko ya kampeni na matukio mengine.

Taarifa hiyo ya daktari huyo inasema Trump ametimiza vigezo vya usalama vya Vituo vya Udhibiti na Kinga kwa hivyo hatazamwi katika hatari ya kueneza maambukizi. Hata hivyo taarifa hiyo haijasema kama kiongozi huyo kapimwa na kuonekana hana virusi hivyo.

The post Trump hawezi kueneza Corona – Daktari Ikulu ya Marekani appeared first on Bongo5.com.