”Simba ni kama Arsenal tu, wanacheza saana lakini hamna kitu. Wanajisifu mpira lakini hamna kitu si umeona sasa hivi pointi zao ngapi ?”- Kauli ya Shabiki wa Yanga baada ya hapo jana kupata ushindi wa goli 1 – 0 dhidi ya Polisi Tanzania

The post Simba kama Arsenal, mpira mwingi lakini hamna kitu – Shabiki wa Yanga (+Video) appeared first on Bongo5.com.