Shilole kwa mara ya kwanza amezungumzia ishu yake na mpiga picha wake baada ya kuonekana wakila Bata peke yao huku zikiwepo taarifa kuwa wawili hawa wana toka kimapenzi ambapo Shishi amesema

“Kuna mtu anayeumia kwani..? Bata anakula mtu yeyote, tatizo watanzania wanapenda kuunganisha matukio, hatuna lolote linaloendelea sisi tupo kazini ni Picha tu, Mpiga Picha wangu Nampenda, Yupo vizuri kila Sekta” – Shilole


Bonyeza PLAY kumsikia akifunguka zaidi