BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake wapya wa sasa Simba una mapungufu, uongozi wa Simba umetoa jibu la 'kimtindo'.


Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram alitupia ujumbe ukisindikizwa na picha ya Morrison akiwa ansaini ameandika kwamba :_