Mkurugenzi wa kampuni ya production ya House of Memories @rommy3d ambaye kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki na mfanyabishara @officialshilole amefunguka kwa mara ya kwanza ukaribu wake na Shilole ulivyoanza miaka 10 iliyopita.

Rommy amejibu vijembe ambavyo vinarusha na aliyekuwa mume wa staa huyo wa muziki, Uchebe na kudai kwa sasa fundi magari huyo ameishiwa ndio maana ana tapatapa mjini hana chakufanya.

 

 

The post Rommy anayedaiwa kutoka na Shilole amuwasha Uchebe “yule ni chawa tu” (Video) appeared first on Bongo5.com.