Rapa wa muziki wa Bongo Fleva Roma Mkatoliki ameweza kutoa maoni yake kuhusu baadhi ya wasanii wa muziki kutoka mataifa ya nje hasa nchini Nigeria kuja Tanzania na kufanya show tofauti na wasanii wetu kwend akwao kufanya show kama zao.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Roma ame Tweets karibia saba akiongelea suala hilo na kusema kuwa,

The post Roma Mkatoliki akerwa na wasanii wa Nigeria kufanya show kwa wingi Tanzania tofauti na wasanii wa Tanzania kwenda Nigeria (+Audio) appeared first on Bongo5.com.