Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed (kushoto) Daktari Dhamana Tamim Hamad Said na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (wa pilikushoto).[Picha na Ikulu.] 13/10/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed .[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said (kulia) wakati alipotembelea Wodi mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kushota) Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib na Naibu katibu Mkuu Halima Maulid Salum.[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (kushoto) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto uliofanyika leo (kulia) Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib.[Picha na Ikulu.]13/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed wakipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said (kulia) wakati alipotembelea Wodi mbali mbali baada ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo .[Picha na Ikulu.] 13/10/2020. Vitanda vya wagonjwa katika wodi za Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo ufunguzi wake uliofanyika leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo .[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.