“Napenda niwapongeze wasimamizi wa uchaguzi hapa chamwino maandalizi yalikuwa mazuri na watu wamejitokeza kwa wingi,Wito wangu kwa watanzania tujitokeze kwa wingi kupiga kura pia nipende kusisitiza amani.”
https://www.instagram.com/p/CG4PsbMh8kb/
https://www.instagram.com/p/CG4PsbMh8kb/
The post Rais Magufuli: Wito wangu kwa watanzania tujitokeze kwa wingi kupiga kura pia nipende kusisitiza amani (+Video) appeared first on Bongo5.com.