Kupitia ukurasa wake wa Instagram Skizzy ameandika hiki :- NIMEVAMIWA STUDIO NA KUPIGWA NA KUFANYIWA UHARIBIFU WA STUDIO NZIMA KUVUNJIWA VIFAA NA VITU VYA STUDIO NA HAWA WANAODAI WAO NI SECURITY NA PIA NI ULINZI SHIRIKISHI #ACHERSECURITY ….
STUDIO KULIKUA NA WATU AMBAO PIA WALIPIGWA KAMA WEZI , WANAWAKE WALIZALILISHWA IKIWEMO KUVULIWA NGUO , KUPIGWA ,KUFANYA VITENDO VYA KINYAMA 😓 !!!! NIMESIKITISHWA SANA NA NIMEKATISHWA SANA TAMAA MIMI KAMA KIJANA AMBAE NATAFUTA RIZKI…!!! KAZI ZETU TUNAKESHA TUNAANGAIKA LAKINI MWISHO WA SIKU TUNAVUNJWA SANA MOYO NA VITU AMBAVYO HAVINA ILI WALA LILE …. !!!

View this post on Instagram

NIMEVAMIWA STUDIO NA KUPIGWA NA KUFANYIWA UHARIBIFU WA STUDIO NZIMA KUVUNJIWA VIFAA NA VITU VYA STUDIO NA HAWA WANAODAI WAO NI SECURITY NA PIA NI ULINZI SHIRIKISHI #ACHERSECURITY …. STUDIO KULIKUA NA WATU AMBAO PIA WALIPIGWA KAMA WEZI , WANAWAKE WALIZALILISHWA IKIWEMO KUVULIWA NGUO , KUPIGWA ,KUFANYA VITENDO VYA KINYAMA 😓 !!!! NIMESIKITISHWA SANA NA NIMEKATISHWA SANA TAMAA MIMI KAMA KIJANA AMBAE NATAFUTA RIZKI…!!! KAZI ZETU TUNAKESHA TUNAANGAIKA LAKINI MWISHO WA SIKU TUNAVUNJWA SANA MOYO NA VITU AMBAVYO HAVINA ILI WALA LILE …. !!! @wasafitv @wasafifm @cloudsfmtz @cloudstv @millardayo @bongofive @efmtanzania @eastafricaredio @sammisago @dizzimonline @globaltvonline @carrymastory @timesfmtz @jicholauswazi

A post shared by zombie 🇹🇿 (@s2kizzy) on

The post Producer Skizzy avamiwa studio na kuvunjiwa vifaa vibaya, wanawake wamezalilishwa appeared first on Bongo5.com.