Maafisa katika mji wa kibiashara nchini Nigeria ambao wamewakamata polisi waliowashambulia waandamanaji wanaoendelea kuandamana dhidi ya ukatili wa polisi.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa polisi walifyatua risasi katika kundi la waandamanaji katika eneo la Surulere mjini humo.

Gavana wa jimbo la Lagos, Babajide Sanwo-Olu, aliwataja majina polisi hao wanne ambao amesema wanakabiliwa na kesi ya nidhamu:

The post Polisi akamatwa kwa kumshambulia mmoja wa waandamanaji Nigeria appeared first on Bongo5.com.