"Ili msanii aweze kufanya show Marekani anatakiwa awe na 'paper work' ambazo zitamruhusu kufanya kazi Marekani pia awe na kibali cha kufanyia kazi @roma_zimbabwe hakuja kwa ajili ya show alikuja kwa ajili ya tukio la Swahili Society USA" Promota wa kimataifa DMK


"Ila @roma_zimbabwe hawezi kufanya show Marekani kwa sababu Visa yake iliyomruhusu ilikuwa tofauti hata kama kuna mtu anataka afanye naye show, lazima arudi kwanza Tanzania achukue kibali cha kazi na 'Proper Visa' kisha ndiyo akafanye show Marekani" - Promota DMK