Ommy Dimpoz alamba Dili la ubalozi wa kampuni kampuni ya nguo ya huko Afrika Kusini



Mwimbaji Star kutokea Bongo Ommy Dimpoz amepata dili baada ya kuwa mmoja wa ma balozi wa kampuni ya nguo ya huko Afrika Kusini ya Europ Art.

Kwenye Ubalozi huo Ommy Dimpoz ameungana na mwanamke marufu huko Afrika Kusini Pearl Thusi ambaye amecheza tamthilia maarufu ya Queen Sono , baada ya kupata dili hilo Ommy ameandika..


 ”Nafurahi kujiunga rasmi na Familia ya europaart brand kubwa ya Mavazi kutoka South Africa kaa tayari Mambo mazuri yanakuja ❤️“  – Ommy Dimpoz