Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeruhusu watu kupiga kura kwa kutumia vitambulisho mbadala, iwapo kadi ya mpiga kura imepotea au kuharibika.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Semistocles Kaijage

Kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari, Tume imeruhusu Vitambulisho kadhaa kutumika ambavyo ni, Kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na NIDA, Hati ya Kusafiria na Leseni ya Udereva.

The post NEC yaruhusu kupiga kura kwa kadi ya NIDA, hati ya kusafiria na Leseni ya Udereva appeared first on Bongo5.com.