JAMBO KAMA JAMBO: Kwa Mkapa leo Kinaumana. Ni Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. 
 
Ataeleza tulikotoka, Tulipo na Tunakoenda na Kueleza kwa Mapana Sera na Ilani ya chama hicho 
 
Vijana Wasanii Wakiongozwa na Diamond, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine zaidi ya 20 Watakuwepo kueleza kwa njia ya Sanaa ushuhuda wao wa Mambo makubwa yaliyofanyika ndani ya Miaka 5 tu. 

Ni ndani ya Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 2 asubuhi. Usikubali Kusimuliwa Wala Kuhadithiwa. Njoo tusherekee pamoja huku tukifurahia