Leo tumulika maisha ya kijana huyu Ben Underwood aliyezaliwa miaka ya 1992 Riveside Clarlifoni nchini Marekani ambaye alikuwa na Kansa ya macho ambaye alipoteza macho yake akiwa na umri wa miaka mitatu tu.

Alijifundisha elimu ya echolocation akiwa na umri wa miaka mitano, na kuweza kugundua baada ya maeneo na vitu kwa kupiga kelele za mara kwa mara kwa kurtimia ulimi wake.

Kupitia elimu hii Ilimsaidia katika kufanikisha mambo kama vile kukimbia, kucheza mpira wa kikapu, kuendesha baiskeli, kuongoza wenzake wakicheza mpira, kucheza mpira wa miguu, na kuteleza kwa kutumia skateboard.

Daktari wa macho wa utotoni wa Underwood alidai kuwa Underwood alikuwa mmoja wa wataalam wa masomo ya kibinadamu yaani alikuwa na uwezo wa kugundu matatizo ya watu wengine.

Kwa bahati mbaya Underwood alipatwa na umauti mnamo Januari 19, 2009 akiwa na umri wa miaka 16, kutokana na tatizo lake la saratani ile ile ambayo ilipelekea kuharibu fahamu zake. #RIPBEN

Dhumuni la kuweka video hii ni kujaribu kuieleza jamii kuw akuna vijana walemavu wenye vipaji vikubwa sana endapo watapewa nafasi wanaweza kufanya vitu vikubwa ambavyo jamii inavihitaji kwa ajili ya amendeleo.

Mfano mzuri ni huyu Ben ambaye aliweza kufanya vitu ambavyo hata mtu amabaye sio mlemavu hawezi kuvifanya.

View this post on Instagram

———————————————————————————————-Leo tumulika maisha ya kijana huyu Ben Underwood aliyezaliwa miaka ya 1992 Riveside Clarlifoni nchini Marekani ambaye alikuwa na Kansa ya macho ambaye alipoteza macho yake akiwa na umri wa miaka mitatu tu. Alijifundisha elimu ya echolocation akiwa na umri wa miaka mitano, na kuweza kugundua baada ya maeneo na vitu kwa kupiga kelele za mara kwa mara kwa kurtimia ulimi wake. Kupitia elimu hii Ilimsaidia katika kufanikisha mambo kama vile kukimbia, kucheza mpira wa kikapu, kuendesha baiskeli, kuongoza wenzake wakicheza mpira, kucheza mpira wa miguu, na kuteleza kwa kutumia skateboard. Daktari wa macho wa utotoni wa Underwood alidai kuwa Underwood alikuwa mmoja wa wataalam wa masomo ya kibinadamu yaani alikuwa na uwezo wa kugundu matatizo ya watu wengine. Kwa bahati mbaya Underwood alipatwa na umauti mnamo Januari 19, 2009 akiwa na umri wa miaka 16, kutokana na tatizo lake la saratani ile ile ambayo ilipelekea kuharibu fahamu zake. #RIPBEN Dhumuni la kuweka video hii ni kujaribu kuieleza jamii kuw akuna vijana walemavu wenye vipaji vikubwa sana endapo watapewa nafasi wanaweza kufanya vitu vikubwa ambavyo jamii inavihitaji kwa ajili ya amendeleo. Mfano mzuri ni huyu Ben ambaye aliweza kufanya vitu ambavyo hata mtu amabaye sio mlemavu hawezi kuvifanya.#KIJANANAKIPAJI #Bongo5Updates: (Via JoyNews) Written by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

The post Mfahamu kijana mlemavu wa macho, aliyeweza kuendesha baiskeli na kucheza mpira wa miguu na kikapu bila shinda ( +Video) appeared first on Bongo5.com.