“Nataka niwaambie Gambo sikumfukuza u-RC na bahati nzuri Gambo aliniomba, akaniambia mzee nimeiona Arusha inaenda vibaya ninaomba nikaikomboe, nikamuambia nenda na Mungu akusaidie, sasa ninawashangaa wanaosema Gambo simpendi”- Dkt Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM

Video bofya HAPA

The post LIVE: Nataka niwaambie Gambo sikumfukuza u-RC – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.